Sabuni ya Zoazoa
-
Estimated Delivery:Oct 17 - Oct 21
-
Free Shipping & Returns: On all orders over $75

Sabuni ya Zoazoa
Grace Zoazoa Manjano Soap inaongelewa kila kona na asilimia kubwa ya watanzania wameamua kuichagua kuwa sabuni yao rasmi ya kuogea. Ukitumia sabuni hii ya asili utaihakikishia ngozi yako ulinzi na utaifanya ngozi yako kuwa mnyororo na yenye mvuto kila wakati. Sabuni hii pamoja na vipodozi vingine kutoka kwa Grace Products Limited vimeidhinishwa na mamlaka ya chakula na dawa TFDA na shirika la sheria Tanzania (TBS) ili kukuhakikishia usalama wakati wa matumizi.
Shipping cost is based on weight. Just add products to your cart and use the Shipping Calculator to see the shipping price.
We want you to be 100% satisfied with your purchase. Items can be returned or exchanged within 30 days of delivery.