Promethazine syrup- Allerzine 100ml
-
Estimated Delivery:Sep 12 - Sep 16
-
Free Shipping & Returns: On all orders over $75

Promethazine syrup- Allerzine 100ml
Dawa ya Allerzine hutibu dalili za mzio na za muda mfupi za baridi kama vile pua inayotiririka, kupiga chafya, macho yenye majimaji, upele wa ngozi na kuwasha kwa watoto. Pia husaidia kutibu kichefuchefu, na kutapika kunakosababishwa baada ya upasuaji au kutokana na ugonjwa wa mwendo (travel sickness).
Shipping cost is based on weight. Just add products to your cart and use the Shipping Calculator to see the shipping price.
We want you to be 100% satisfied with your purchase. Items can be returned or exchanged within 30 days of delivery.